Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
🙏🙏🙏Usirejeshe sadaka yako (muhammad bin abdillah)
Ukiisha kutoa chochote kuwa sadaka haipendezi kutamani kuichukua tena. Hata Mtume s.a.w. alikataza kukinunua kilichotolewa sadaka, maana alihofia pengine aliyepewa sadaka atapunjwa.