Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


adhana hayupo sahihi kwa sababu ni tukio la dakika moja
kutokusali kwa spika naunga mkono...........
sauti ya imamu inatosha kwa hizi sala za kawaida zisizobeba waumini wengi kwa mfano sala ya adhuhuri na alasiri
sala ya ijumaa na iddi upo umuhimu wa kusali kwa spika kwa sababu mkusanyiko unakuwa ni mkubwa sana.
si kila msikiti unasali sala ya ijumaa
si kila msikiti unasali sala ya Iddi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ