Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpendwa naona unaniombea dua nzuri inshaalah nami nitapata kausafiri kangu hata bodaboda sio mbaya.
ukiomba unatakiwa uombe jambo kubwa mpendwaaa
unaombaje bodaboda?

kuna mwenzio aliona nyota ya jaha basi kwa ule mzuka wake akawa anapiga kelele kama mbuzi....
basi alipoamka asubuhi alikuta kundi la mbuzi mee mlangoni mwa myumba yake
 
Nisiposhukuru kidogo hata kikubwa sitashukuru boda kwangu naona ni jambo kubwa kwa maana hata nikifanikiwa kumiliki gari nitawaza ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…