*Mkuu wa Wilaya apiga marufuku kunadi swala asubuhi na kuswali kwa Spika* Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Mh. Col. Simon Asanga amepiga marufuku kunadi swala ya asubuhi msikitini na kuswali swala hiyo kwa spika za nje Kwa maelezo kuwa ni kinyume cha sheria ya mazingira na kelele. Awali...
www.jamiiforums.com
adhana hayupo sahihi kwa sababu ni tukio la dakika moja
kutokusali kwa spika naunga mkono...........
sauti ya imamu inatosha kwa hizi sala za kawaida zisizobeba waumini wengi kwa mfano sala ya adhuhuri na alasiri
sala ya ijumaa na iddi upo umuhimu wa kusali kwa spika kwa sababu mkusanyiko unakuwa ni mkubwa sana.
si kila msikiti unasali sala ya ijumaa
si kila msikiti unasali sala ya Iddi