Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daaaa Liverpool wametukomesha yani hapo kazi tunayo...Atletico Madrid v Liverpool
nakaribia kutimiza masaa 24 bila ya kulala.....
Gb 10 zitatutia wazimu sisi walevi wa korea.
nimegonga gb 10 zikaisha, muhudumuuuu hebu ongeza gb 2 nyengine naona asubuhi haijafika