Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Si ajabu huyu alikuwa anakula likes...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1294269
Jizazi....The pain...[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1294267
moudgulf
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ajitoa kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA, amuachia Lissu
Wakati Kamati Kuu ikiendelea na uchujaji wa majina ya wagombea nafasi za Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti CHADEMA Taarifa za hivi punde zinasema Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara Saed Kubenea amejitoa. Kubenea amesema amejitoa kwa sababu anaamini mgombea mwenzake Tundu Lissu anafaa kushika...www.jamiiforums.com
Tetesi: - Waislamu wazuiwa kupiga Adhana, BAKWATA MKO WAPI?
*Mkuu wa Wilaya apiga marufuku kunadi swala asubuhi na kuswali kwa Spika* Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Mh. Col. Simon Asanga amepiga marufuku kunadi swala ya asubuhi msikitini na kuswali swala hiyo kwa spika za nje Kwa maelezo kuwa ni kinyume cha sheria ya mazingira na kelele. Awali...www.jamiiforums.com
adhana hayupo sahihi kwa sababu ni tukio la dakika moja
kutokusali kwa spika naunga mkono...........
sauti ya imamu inatosha kwa hizi sala za kawaida zisizobeba waumini wengi kwa mfano sala ya adhuhuri na alasiri
sala ya ijumaa na iddi upo umuhimu wa kusali kwa spika kwa sababu mkusanyiko unakuwa ni mkubwa sana.
si kila msikiti unasali sala ya ijumaa
si kila msikiti unasali sala ya Iddi
Akijichanganya atafutiwa uanachama. Kwanza ni kabila gani huyu? Ila yeye na Komu ni kama vile wamekwama. Si ajabu huko mbele wakageuza gia angani. Magazeti yake sijui yataandika nini...Huyu Kubenea alikuwa anapinga pinga Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho kuendelee na wadhifa huo, nilitarajia ajitose kugombea cheo hicho ili kuipa changamoto demokrasia ya Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu halali huyo kamanda japo.....[emoji16][emoji16][emoji16]ThIs is Ester Matiko Mbuge!!
Dah Pisi moja kaliii[emoji11][emoji11]View attachment 1294423
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua huyo ni Trump ila sijaelewa unamaanisha nini kamanda.