Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Achia nywilaa siku 2 sijaona kelele zake humu usizugeSaint anne hebu geukia huku๐
Mimi au umekosea?Achia nywilaa siku 2 sijaona kelele zake humu usizuge
Ngoja nianzishe kampeni ya free Saint anne.Mimi au umekosea?
Sina kishikio cha nywila mpendwa๐๐
๐๐ kweli yu kanti weiti,
Kwema kabisa, sijui wewe.Ngoja nianzishe kampeni ya free Saint anne.
Kwema mpendwa.
Akija utamuweza?Ngoja nianzishe kampeni ya free Saint anne.
Kwema mpendwa.
Mimi mhenga na nywila wapi na wapi.Kwema kabisa, sijui wewe.
Mwakani nitaficha zakwako, ngoja nipate picha ya kuweka.
Ukihitaji msaada wo wote unapojiandaa kuikabili Januari nipo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2] kweli yu kanti weiti,
naona uvumilivu umekushinda
Tutaona tuu, usihofu๐๐Mimi mhenga na nywila wapi na wapi.
Sitamuweza maana mimi sio shabiki wa mpira msoma commentsAkija utamuweza?
Kumbe wapare ni wabishi hivi sikujua hili ๐Tutaona tuu, usihofu๐๐
๐๐๐๐hahahahahKumbe wapare ni wabishi hivi sikujua hili ๐
Nimekupa like naona uko na wapare wenzio mnazungumza kinyumbani vizuri mpendwa๐๐๐๐hahahahah
Upare umetokea wapi mpendwa๐๐.
Nimeiona like yako kule๐๐๐
๐๐ tayari nimeandaa disk ya 1TB na mizigo ipo ya kutoshaUkihitaji msaada wo wote unapojiandaa kuikabili Januari nipo [emoji16][emoji16][emoji16]
Akijichanganya atafutiwa uanachama. Kwanza ni kabila gani huyu? Ila yeye na Komu ni kama vile wamekwama. Si ajabu huko mbele wakageuza gia angani. Magazeti yake sijui yataandika nini...