Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
πHahahahaa Umenipa aidia.. naenda andika kitabu kabisa cha kichambo!
Na upole wako huo kichambo utakiweza wapi? [emoji16][emoji23]Hahahahaa Umenipa aidia.. naenda andika kitabu kabisa cha kichambo!
Leo Desemba 17,
Tumebakisha siku 8 kwa Krismass,
Tumebakisha siku 13 kumaliza mwaka huu,
Tumuombe Mungu Kuyafikia matukio hayo mawili tukiwa na afya njema
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ eti mpole... ndio ntajifunza...Na upole wako huo kichambo utakiweza wapi? [emoji16]
π£π£π£ mdogomdogo