Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

465016740_32324.jpeg
 
Amin[emoji120][emoji120]
Pima na uongeze (muhammad bin abdillah)
Kumpa mtu haki yake ni uadilifu, na kumwongezea ndiyo ihsani. Mtume s.a.w. ataka watu wapendane kwa kutendeana wema wao kwa wao. Wafanya biashara wamehusika sana na amri hii. Kumnyang’anya mtu haki yake ni mbali kabisa na mafunzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin.
Kuna Kigogo mmoja aliyepata kuwa Waziri kwenye tawala za nyuma alijiua. Kulikuwa na msuguano mkubwa juu mazishi yake.
Hata hivyo masheikh wa mkoa alikozikwa walimsalia na kuacha sintofahamu kwa maamuma
Msiitamani mauti (muhammad bin abdillah)
Watu wengi wanapochukiwa na jambo fulani wanajiua. Hilo ni ujinga wa mwisho.imani inamfunza mtu asikate tamaa katika hali zote na afululize bidii na jitihada. mwanadamu ameumbwa kushinda na kutawala yote yaliyo kinyume chake.

Anayeshindwa na kukata tamaa hawezi kuwa muumini.
Mtume s.a.w. alikataza kumsalia mtu aliyejinyonga, maana hakutegemea fadhili za Mwenyezi Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom