Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tualikane sikukuu yaani uzi una wachoyo.
Unakaribishwa mpendwa. Ukishuka na hii Bombadia mpya pale jiji la Mawe kwa Numbisa panda mabasi ya kwenda Misungwi. Ukikaribia Misungwi mjini kama kilomita 50 hivi porini porini utaona mashamba makubwa ya nyanya na dengu. Shukia hapo uulizie mzee mwenye kitambi Aitwaye Gashimba utaletwa mpaka nyumbani hata na kipofu. Karibu sana mpendwa tusherehekee kitakatifu kuzaliwa kwa Bwana Wetu Yesu Kristu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
e177e915960e481cb26a039d7c2902db.jpg
 
Back
Top Bottom