si lazima munipikie pilau la mbuzi mee siku ya kirisimasi
Jabir reported the Messenger of Allah صلی اللہ علیہ وسلم as sayings: when one of you is invited to a meal, he must accept. If he wishes he may eat, but if he wishes (to leave), he may leave.
Mchezaji pekee kushinda Kitu cha Dhahabu Ulaya kwenye ligi mbili tofauti
Staa Ronaldo ni mchezaji pekee aliyeshinda Kiatu cha Dhahabu cha Ulaya kwenye Ligi Kuu za nchi mbili tofauti. Alishinda ya kwanza akiwa Ligi Kuu England kwenye kikosi cha Manchester United mwaka 2008 na cha pili alikibeba miaka sita baadaye, mwaka 2014 alipokuwa akiitumikia Real Madrid.
Ronaldo anashikilia rekodi hii ya kutokea mara nyingi kwenye Kikosi Bora cha Msimu cha Uefa, akitokea kwenye timu hiyo mara 13. Ni mchezaji wa kwanza pia kutokea kwenye kikosi hicho kwa misimu 10 mfululizo. Supastaa Lionel Messi anashika namba mbili akitokea kwenye timu hiyo mara 10 na Sergio Ramos namba tatu akitokea mara 8.
Ronaldo ameshinda mara tatu tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Uefa, ikiwa ni mara nyingi kuliko wachezaji wengine, ambapo mpinzani wake Lionel Messi anashika namba mbili akiwa ameshinda tuzo hiyo mara mbili. Wakali hao wote wawili mwaka huu walipigwa kikumbo na beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
Some married men will be booking expensive hotels just to do the same thing they do at their homes for 30 seconds[emoji100]..![emoji121][emoji30][emoji174]
Ronaldo ameshinda mara tatu tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Uefa, ikiwa ni mara nyingi kuliko wachezaji wengine, ambapo mpinzani wake Lionel Messi anashika namba mbili akiwa ameshinda tuzo hiyo mara mbili. Wakali hao wote wawili mwaka huu walipigwa kikumbo na beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
Narrated Abu Huraira: While `Umar (bin Al-Khattab) was delivering the Khutba on a Friday, a man entered (the mosque). `Umar asked him, What has detained you from the prayer? The man said, It was only that when I heard the Adhan I performed ablution (for the prayer). On that `Umar said, Did you not hear the Prophet saying: 'Anyone of you going out for the Jumua prayer should take a bath'?