Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Salama kabisa, hofu kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]radiiiiii
juzi nilikuwa natembea kwa miguu huku nikiwa nimevaa buti za country boy, basi ilipiga radi moja matata sana......
mama weeee sijui hata muda gani viatu vyangu nilivivuaππππ.
Mmmhπππ
nilitetemeka mwili mzima mpaka viatu vikajivua wenyewe