Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MUDA huu kiungo mshambuliaji wa Red Bull Salzburg, Takumi Minamino yupo njiani kwenda kufanya vipimo vya afya katika klabu ya Liverpool na kama atafaulu Januari Mosi, watamtangaza kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa wakati wa dirisha la majira ya baridi huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…