Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Ligi Jumanne usiku Liverpool ilikubali kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Aston Villa huku ikiwa imepanga kikosi kilichokuwa na wachezaji makinda wengi.
Hejoo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Aiseee mama Mtumishi [emoji144][emoji144]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye huu uzi numbie tu ndo hajui kutukana
Kwema shem?Amen shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Halafu yaani.......dah !!!
PoaYebaaaaa ,za mafuriko?
Umeona Sasa.Kikosi kamili cha Liverpool kipo Qatar, kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia dhidi ya Mexican Side Monterrey itakayochezwa leo Jumatano usiku.
Mamie iliyofungwa ni liever na sio watu wanaoichezea liverUmeona Sasa.
Kumbe kikosi kamili hakikuwepo.
Tuliingiza mazuzu Jana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo mwakaleli mojaaaaPoa
Tupo tunajiandaa na sikukuu[emoji16][emoji16]View attachment 1296260
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia jogoo alichinjwa watu wakanywa supu jana[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka kushangaa...yaani kina salah,mane wote wamezembea Hadi tukapigwa hivi!
Kumbe Kuna ******* wachache wamesababisha haya[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakula sikukuu kwa ankoo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo mwakaleli mojaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu nasikia anko kanunua kuku wa kienyeji sikukuu full supu orijino
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe binti temea mate chini hao hao ******* wachache ndio walioipiga arsenal goli tano ujue
Majukumu mtani,wajukuu wanataka nguo mpya za sikukuu[emoji23][emoji23]Salama kabisa, hofu kwako.
Yaani leo ndio nilikua naanza kujiuliza kuwa mtani katekwa au huu ukimya unatoka wapi??