moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na kweli wawabadilishie sare ss[emoji23] maana watasemwa mpaka wafie ndani ya ndege
Hahahaha nmecheka kwa nguvu na usiku huuu dahWapelekwe salon masaa machache kabla hawajaanza safari wakang'arishwe ili waondokane na vumbi la Bariadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakua wameona ila wame mute tuha ha kwani wengine wameona?
Kwani hawavutii?kwa nini na wao wasivae ili wavutie
Huyo Neymar useless tu
wewe mzee fanya ulale tena.......
Tukihesabu tunagawana pasu kwa pass.
Christmas hii Sina hela ya kula vitu vitamu[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa si wazamani?![emoji23][emoji23]yaani utafkiri ni wahudumu wa zahanati huko Rukwa
View attachment 1297746
[emoji23][emoji23][emoji23] bora nikatupwe katikati ya jangwa la sahara lakini sio kuangalia watu wafupi wenye vimacho vidogo
Hiyo picha unajua ya mwaka gani?[emoji23][emoji23]yaani utafkiri ni wahudumu wa zahanati huko Rukwa
View attachment 1297746
[emoji23]dah nakuweka kwenye kundi la walamba miguu aka foor job[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
yaani ni sawa na mwanaume umetoka kazini umechoka umeamua kwenda bar kutuliza akili upate moja ya baridi, halafu aje mwanaume na lisauti lizito kukuhudumia