Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Abiria wa treni ya Dar-Kigoma-Dar wamelalamikia kitendo cha mabehewa ya deluxe kuhamishiwa treni ya Dar- Moshi-Dar. Uchunguzi umebaini kuwa, sababu za kuhamisha mabehewa hayo ni kwamba, treni ya Dar-Kigoma ambayo husafiri kwa siku 3, abiria wanakunywa kreti 20 za bia, wakati treni ya Dar-Moshi inayosafiri kwa saa 16 abiria wanakunywa kreti 150 za bia. 🍺🤸🏻‍♂🍻🎼🍺🕶😛👻🤓🤠🍺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…