Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Asante sana Saint.... na kwako pia
Wanasemaje huko Matema Beach?
Wanasemaje huko Matema Beach?
Bro, usiombe yakukute aisee😀😀Embu ngoja kwanza maana hapa mnanichanganya kabisa, mtekaji ni yeye tena?
Hahahahaha ghafla bin vuu kaibuka kukanushaJizazi!!! Bradha watu wamemuhifadhia nywila?
Hehehehe wewe utafia kwenye misumali bure siteki mtu mieee
Kwema kabisa anko,tunajiandaa na mwaka mpya
Nipo pamoja nao, wapo vizuri.Tunashukuru Mungu uzima upo wa kutosha mengine tunapambana, vipi huko kwetu kwingine vijana na mama lao wanasema nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeamini kweli leo ni JumatanoKwema kabisa anko,tunajiandaa na mwaka mpya
Hahahaha anko nimejitahidi kuficha kwa mwaliko wa mbwembwe na draft za kuchora ila umenishtukia mapemaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeamini kweli leo ni Jumatano
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki alivyo hana jeraha hivyo sijamteka la sivyo angekua na majeraha ya misumali[emoji23][emoji23]Embu ngoja kwanza maana hapa mnanichanganya kabisa, mtekaji ni yeye tena?
Kama ambavyo watekwaji huwa hawasemi yaliyowakuta, namimi sisemi.Cheki alivyo hana jeraha hivyo sijamteka la sivyo angekua na majeraha ya misumali[emoji23][emoji23]
Heheheeeee meri krismasiKama ambavyo watekwaji huwa hawasemi yaliyowakuta, namimi sisemi.
Kumbe kutekwa ndiko huku??
Thanks a lot sis.Heheheeeee meri krismasi
INATOSHA. Pep Guardiola uvumilivu umemshinda. Ameona sio shida, amechukua uamuzi wa kuwaandikia barua Ligi Kuu England na kuwaambia ‘asante’ baada ya ratiba ngumu iliyopangiwa timu yake ya Manchester City kwenye kipindi hiki cha Krismasi huku wapinzani wake Liverpool akihisi wanapendelewa.