myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni na mapumziko
Duh!!Sisi wengine leo ni jumatano kama jumatano zingineView attachment 1303165
Nenda wafuate,unachokitafuta utakipata.Leo umenipongeza ..[emoji50] wakati unapiga vita kinjwaji ..ila baada ya mwaka mpya nawafuata wale wabaya wangu nimegundua msamaha ni kwa watu dhaifu
Ni payback time [emoji3]
Merry xmass mtumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji53][emoji53][emoji32][emoji32][emoji51][emoji33][emoji33] mbona unaniogopesha tena ngoja nifikirie kabla ya kuwafuataNenda wafuate,unachokitafuta utakipata.
Kuhusu pombe ulitaka nikwambie Nini Kama yote niliyokeambia hakuna hata moja ulilosikiliza
Sent using Jamii Forums mobile app