Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Asanteee..🙂Hahahaha poti bana. Heri ya Christmas pia.
Asanteee..🙂Hahahaha poti bana. Heri ya Christmas pia.
Hahah! Embu nipe full mkanda broBro, usiombe yakukute aisee😀😀
😂😂😂😂😂. AhsanteHehehehe wewe utafia kwenye misumali bure siteki mtu mieee
Leo si tunakesha bana..Potiiiii marahabaaa ngoja nikalale mie
Usijali anko nipo mjini salamu zinafika hizi, wasalimu pia hapo nyumbaniNipo pamoja nao, wapo vizuri.
Msalimie sana bimkubwa kama upo mjinim
Sent using Jamii Forums mobile app
Akhu ndo kwanza pamekucha huko kisiwani nenda katuletee samaki sieLeo si tunakesha bana..
Heheh! Hana kabisa michubuko asitake kukusingizia wakati alikua anatumikia ndala hukoCheki alivyo hana jeraha hivyo sijamteka la sivyo angekua na majeraha ya misumali[emoji23][emoji23]
Hahahaha kijana muda wa kulala eboHeheh! Hana kabisa michubuko asitake kukusingizia wakati alikua anatumikia ndala huko
Saa tano na nusu usiku hapa ujue, ooh! Halafu leo mashua zote zimetia nanga kilindini, Christmas bana. 🙂Akhu ndo kwanza pamekucha huko kisiwani nenda katuletee samaki sie
Koromije tano na dakika 27 ujue daah tunazidiana dakika na tanga uwiiiiSaa tano na nusu usiku hapa ujue, ooh! Halafu leo mashua zote zimetia Tanga kilindini, Christmas bana. 🙂
Night night!Alamsikiiiiiii
Aya tulale..... Sleep tightHahahaha kijana muda wa kulala ebo