Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,587
- 1,393
wewe sihitaji kiki hapa nisije nikageuka jina hapa wakaniita mganga bule .ila cha kukusaidia tu je umesha wahi kuona mtu anageuka kichuguu? mtu anakuwa popo? mtu anatembea huku haonekani?. mtu anapigwa na mawe,mapanga ila hafi? kama hujawahi kuona hata moja.basi tembea ujionee dunia imeyabeba mengi.Umewahi kuona?!