Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juan Sebastian Veron anasema kwamba kuna mazungumzo kati ya Estudiantes na kiungo wa kati wa Vissel Kobe Andres Iniesta kuhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 wa Uhispania kujiunga na klabu hiyo ya Argentine . (La Oral Deportivo, via Marca)
 
[emoji53][emoji53][emoji32][emoji32][emoji51][emoji33][emoji33] mbona unaniogopesha tena ngoja nifikirie kabla ya kuwafuata

Ila mwakan nategemea kuwa mtu mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuogopesha na nini?
Umeamua kuwafwata wewe wafwate halafu utaona kitakachofwata.

Mwenye nyumba angalijua saa ambayo mwivi atakuja kuiba angalikesha akimngoja.
Vivyohivyo katika maisha yetu ya kila siku,tumeagizwa kujitakasa kila wakati Maana hatujui siku Wala saa...
Mambo ya kesho iachie kesho,ukiamua kufanya Jambo lifanye Mara tu unapopata muda,kesho Ni fumbo alijualo MUNGU pekee.
Mithali 27


Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeniogopesha kidogo [emoji46]Ulivyosema "ninachokitafuta nitakipata" kwamba outcome ya tukio nitakaloenda Fanya itakuwa mbaya . Anyway itajulikana mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeniogopesha kidogo [emoji46]Ulivyosema "ninachokitafuta nitakipata" kwamba outcome ya tukio nitakaloenda Fanya itakuwa mbaya . Anyway itajulikana mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimlipe mtu ovu kwa ovu ,angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
Msijilipize kisasi, Bali ipisheni ghadhabu ya MUNGU Maana imeandikwa kisasi Ni juu yangu Mimi nitalipa,anena Bwana.
Rum12:17

Sawa itajulikana mbeleni ila
Aliye na sikio na asikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…