Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mvuto wa Noti unatokana na mpangilio mzuri wa picha, rangi na mpangilo mzuri wa maandishi ya herufi na nambari katika noti hiyo. Hii ni noti ya Dola 50 ya Visiwa vya Trinidad na Tobago.
Aisee...Inasemekana viumbe hawa pamoja kwamba ni wapenzi wa nyama lakini hawanaga neno na mwanadamu, humuheshimu kama mbwa anaowafuga wanaomuheshimu, sasa basi heshima unayopewa itumie vizuri, sio unaanza kuleta tabia zetu za kiswahili ukiona mbwa unaokota jiwe na kumtupia, hawa jamaa hawapendagi dharau, lakini pia hakikisha hauna sehemu inayovuja damu kwani wakiisikia tuu wafyaa ! wakati huo endelea kufanya jitihada za kupotea maeneo hayo, maana ni binadamu tuu ndiyo amepewa ufahamu timilifu japokuwa naye hujichetua inapobidi.