Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NUKUU "Kwanini nihitaji Ferrari 10, saa 20 za dhahabu au ndege?, vitu hivi vitanisaidia nini mimi na ulimwengu. Nilikuwa na njaa, ilinibidi nifanye kazi shamba. Nimeishi maisha magumu na nimecheza soka bila viatu, sikuwa na elimu lakini nashukuru kila kitu nilichonacho kwa sasa kutokana na soka, lazima nisaidie watu"- Sadio Mane 📝Nsemwoha, 13/10/2019 - 1
 
MEEK MILL AJIONDOA INSTAGRAM KWA MUDA KISA MJADALA HUU | _ Moja ya Habari inayotrend kwa sasa unyamwezini ni tetesi za rapa Meek Mill kudaiwa kupata mtoto na anayedaiwa kuwa mpenzi wake Milano japo wawili hao wamekuwa wakikana kuwa sio wapenzi zaidi ni urafiki tu. Kitendo hicho cha watu kuendelea kumsumbua kutaka kujua kama ni kweli wawili hao wamepata mtoto kimemfanya hadi Meek Mill kuondoa akaunti yake ya instagram kwa muda na kuhamia Twitter ambako huko ameandika ujumbe unaosemeka kuwa "Kweli ni Mtoto wangu" Hebu niambie ni jambo gani linaloweza kupelekea wewe kujitoa kwenye instagram yako? -
 
Back
Top Bottom