Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Mzee mwenzangu nafanya vitu adimu lakini cha ajabu wakala hanizingatii kabisa, hii inakatisha tamaa ndio mana watu tunaachaga soccer kabisa [emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2]usiache mzee mwenzangu, kipaji bado nakiona kabsa, ongeza juhudi binafsi mzee mazoezi ya kutosha,benchi utakuwa unalisikia tu [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…