Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

RIP
IMG_20191231_150157.jpeg
IMG_20191231_145311.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIL WAYNE HUENDA AKAUMALIZA MWAKA MWAKA VIBAYA. Rapa Lil Wayne huenda akaumaliza mwaka 2019 vibaya baada ya kukutwa akimiliki silaha kinyume na sheria, kufuatia uchunguzi uliofanywa na polisi katika ndege binafsi ya msanii huyo ambapo walibaini kuwa ndani ya ndege hiyo kulikuwa na silaha ambayo alikuwa akiimiliki kinyume na sheria lakini pia walikuta dawa za kulevya aina ya cocaine pamoja na bangi kitendo ambacho kinaweza kumpelekea msanii huyo kukumbana na adhabu kali yakisheria.
 
Wimbo wa Eminem' Lose Yourself" ndiyo wimbo wa kwanza wa rap kushinda tuzo ya Oscar kama " Best Original Song". Lakini Eminem' hakufikiri kama anaweza kushinda badala yake alibaki nyumbani akitazama Katuni na mtoto wake na Baadae Akajisahau Na Kulala Kwenye Kochi. -
 
Back
Top Bottom