Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ole atatoka salama Emirates? Kila timu itahitaji huduma bora kabisa kutoka kwa mastaa wake kuhakikisha wanapata matokeo mazuri, huku Arsenal wakijitahi kuondoka kwenye nafasi ya sita wanayoshika.