Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Huku ni fresh sana Bro, vipi mwaka unakukutia hapo kipande yako ya kila siku?Fresh bro, Mungu anasaidia, uzima upo.. Pande hizo niaje ndugu yangu?
Kwema mpaka wema unapitiliza bro, vipi hapo kwako?Bro, kwema kabisa.
Mwaka unaisha bro.Kwema pande hizo?
😀😀 kuna nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Post kuchaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipotea muda mrefu humu adi unasahau upost nini
😀😀 kuna nini?
Sio mimi bro.Bradha unakumbuka ulivyolike kwa hasira hapa?View attachment 1308465
Duh! mtihani...Arsenal watataka kushinda mechi yao ya kwanza baada ya kutoka patupu kwenye mechi tano zilizopita, lakini Man United wao watahitaji kushinda mechi yao ya tatu mfululizo kwenye Ligi Kuu England ili kufuzia nafasi kwenye Top Four.