carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ni tatizo la kiufundi tu [emoji1][emoji1][emoji1]Kama ulikosa mchumba mwaka huu nakuombea mwaka ujao ukapate mchumba wa ndoto yako
Dogo alienda nayo chuo, mbona nilikuambia siku ile?
Either sikupata hizo salamu ama nimevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo alienda nayo chuo, mbona nilikuambia siku ile?
Nakupa ingine nao nao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani....leo uko vizuri😂😂😂
Wapi SHIMBA YA BUYENZEGood night fam
Kwa hisani ya watu wa kanda ya ziwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1308839
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli...Kama mwaka 2019 ulikuwa unamthamini beki 3 wako kuliko mkeo wa ndoa, basi mwaka 2020 ujirekebishe
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Nawaona mnavyokodolea macho mwaka mpya View attachment 1308801
Amin🙏🙏🙏Inshaallah Mwenyezi Mungu utupe umri mrefu[emoji120][emoji120]
Aisee...Kufa maana yake ni kutoa nafasi kwa wengine nao waonje raha na karaha za Dunia
Sawasawa...Uzee unapiga hodi