Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni wazi kuwa mitandao ya kijamii ni mizuri, imesaidia mengi na kusema tusiitumia itakuwa sio sahihi
Ni sawa kabisaSio jambo la hekima kusahau mahusiano yako kutokana na mitandao ya kijamii
Mbona mapema mtani?