carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ni tatizo la kiufundi tu [emoji1][emoji1][emoji1]Kama ulikosa mchumba mwaka huu nakuombea mwaka ujao ukapate mchumba wa ndoto yako
Dogo alienda nayo chuo, mbona nilikuambia siku ile?
Either sikupata hizo salamu ama nimevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo alienda nayo chuo, mbona nilikuambia siku ile?
Nakupa ingine nao nao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani....leo uko vizuriπππ
Wapi SHIMBA YA BUYENZEGood night fam
Kwa hisani ya watu wa kanda ya ziwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1308839
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli...Kama mwaka 2019 ulikuwa unamthamini beki 3 wako kuliko mkeo wa ndoa, basi mwaka 2020 ujirekebishe
Sent using Jamii Forums mobile app
πππNawaona mnavyokodolea macho mwaka mpya View attachment 1308801
AminπππInshaallah Mwenyezi Mungu utupe umri mrefu[emoji120][emoji120]
Aisee...Kufa maana yake ni kutoa nafasi kwa wengine nao waonje raha na karaha za Dunia
Sawasawa...Uzee unapiga hodi