Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen
 
Ahsante sana kwa salamu za mwaka mpya.

Nakutakia heri mwaka huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa tupu...
NIDA hawana majibu kwa nini kuna ugumu na hawajui zoezi litakamilika lini..


Cc: mahondaw
hili lilikua lengo la kuwafanya wananchi wengi watafute vitambulisho kwa lazima, bado sidhani kama kuna kitu kama hiki kufungia Sim card, hii ni mbinu tu ya serikali kwani tayari walishindwa kuzunguka kila sehemu kwa ajili ya kusajilia watu vitambulisho hivyo njia ilikua ni kuwafanya wananchi wafuate wenyewe kwenye offisi za NIDA
 
Wakala huyo, ambaye anamsimamia pia kiungo wa Manchester United, Paul Pogba aliweka masharti yake kibao ambayo alitaka yawekwe kwenye mkataba wa Haaland, kitu ambacho mabosi wa Old Trafford, wamechungulia kwa kina na kugundua kwamba wakimsajili nyota huyo aliyekuwa kwenye hesabu zao, itakula kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…