Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alichotaka wakala huyo kumfanya Haaland kuwa mpita njia tu kwenye kikosi cha Man United na baada ya msimu mmoja au miwili, akiwa kwenye ubora basi amtafutie timu nyingine na kumuuza.
Eimeeeennn
Aone Numbisa and co[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Cole Williams asipaone hapa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tatizo la kiufundi tu [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1308840
Sent using Jamii Forums mobile app