Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ni uchoyo huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii kama hivyo usijeeee
[emoji23][emoji23][emoji23] aah mzee wa matuputapu umejitokeza hadharani na pingu,mbege,gongo ,lubisi vyote utavikutaha ha ha si bora hata unitafutie mnazi chupa moja au ulanzi
Karibu sanaNapokea mialiko jamani
Sitamani mwaka mpya ubaki kuwa j5 kwangu[emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora nisije tu kulikoni nitupe nauli yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii kama hivyo usijeeee
Upanga
Dah! MkatalunyaWakuu Wakuu habari za wakati huu
ha ha inabid nile ugali wa nguvu kwanza hivyo vinywaji visivyo na tibiesi havitabiriki[emoji23][emoji23][emoji23] aah mzee wa matuputapu umejitokeza hadharani na pingu,mbege,gongo ,lubisi vyote utavikuta
Dah! Mkatalunya
Upanga
Mtaa wa Kitonga 105
House no 8_
Karibu sana
Ni full Mkatalunya, vipi mambo yako vile yanaenda?Niaje Mkatalunya
Hii source gani una fetch info?? Mbona source ingine inaeleza baba wa Halard alitaka percent ya mauzo ikawa kikwazo??Suala la kupangiwa bei ndilo ambalo liliwafanya mabosi wa Man United kuachana na dili la kumchukua Haaland.
Lets hope so, Bro.thank you bro hope leo tunashinda kwa kishindo
Ni full Mkatalunya, vipi mambo yako vile yanaenda?
Bro mambo niaje?