Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jirani mwaka huu ban zimuepuke[emoji120][emoji120]

Numbisa
Hawa wanaotwanga ban wabahatike kumuona huyu binti watasikitika sana, sijui vidole vyake ujeuri vimeutoa wapi?!! Kwa mwandiko wake ni dhahiri ni binti mpole sana, si muongeaji, hana tabia ya makundi.
Kama ana mtu/mme basi jamaa anatakiwa awe mtu anaejua kumsoma huyu binti maana furaha yake inamtegemea sana mtu wake.
Popote ulipo binti mpole hawa yuu endi hepi niu yiaaa [emoji137][emoji137][emoji137][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya ankoo
 
andjul
moudgulf
mzee wa liver
Mungu atupe mwaka wenye Baraka..
Mkuu Mungu akubariki sana.
Uwe mwaka wa mafanikio ukaweze kukidhi hitaji lako [emoji120][emoji120]
Mimi tayari michepuko yangu imeanza kukumbushia balance zao zilizo kuwa zimebaki kumalizia.
Mungu akatujaalie michepuko(wamiliki wa shule) yetu ikanogewe na maneno yetu matamu ya kujitetea ili siku ziendelee kusonga mbele.
Happy new year JIRANI Mzee wa pipi [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…