The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23] hata sijui kimetokea ninii......Nashangaa tu kumekucha[emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeh!!ukagawa nywila na wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa baraka hizi ankoo..Ahsante Ankoo.
Nakuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu. Mengine yatakuja yenyewe tu.
#Uoesasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha nilijua tu lazima uione hii hashtag...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#surayakagame
#nanikakulishahilotango?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana ndugu yangu..Ahsanteni sana mzee mwenzake.
Kheri ya mwaka mpya na kwako pia!!Mungu ajalie ukawe mwaka wenye baraka na mafanikio mengi zaidi.
Kheri ya mwaka mpya dada.[emoji23][emoji23][emoji23] hata sijui kimetokea ninii......Nashangaa tu kumekucha[emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππShukrani sana ndugu yangu..
Huu mwaka uwe mwema na wenye mafanikio na baraka zaidi!!
Isalimie familia!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo kijana mpole
Mtani, kwamba Davet anaogelea na boya au?ππππPoa sana
Sijui pande hizo
#naonahabarizakuogeleanampira[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app