Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Wabeja sana 🙏🙏🙏
Tunakupenda pia TH.. Heri ya mwaka mpya pia..Happy New Year Fam[emoji484][emoji1635]
Nawapenda[emoji171]View attachment 1309217
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy New Year Fam[emoji484][emoji1635]
Nawapenda[emoji171]View attachment 1309217
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaha
555555555555555555555! Nakuona unakazia tu
Mkuu Mungu akubariki sana.
Uwe mwaka wa mafanikio ukaweze kukidhi hitaji lako [emoji120][emoji120]
Mimi tayari michepuko yangu imeanza kukumbushia balance zao zilizo kuwa zimebaki kumalizia.
Mungu akatujaalie michepuko(wamiliki wa shule) yetu ikanogewe na maneno yetu matamu ya kujitetea ili siku ziendelee kusonga mbele.
Happy new year JIRANI Mzee wa pipi [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utanialikaje kwa Davet!Hiyo location ya upanga ndiyo hapo na Mimi nakualika
Hahahahaha anko bana.Hawa wanaotwanga ban wabahatike kumuona huyu binti watasikitika sana, sijui vidole vyake ujeuri vimeutoa wapi?!! Kwa mwandiko wake ni dhahiri ni binti mpole sana, si muongeaji, hana tabia ya makundi.
Kama ana mtu/mme basi jamaa anatakiwa awe mtu anaejua kumsoma huyu binti maana furaha yake inamtegemea sana mtu wake.
Popote ulipo binti mpole hawa yuu endi hepi niu yiaaa [emoji137][emoji137][emoji137][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri ya mwaka mpya Prisca.55555555555 cheeeiii
Heri ya mwaka mpya too bradha. Mwaka uwe wa mafanikio kwako na kwa wifi yetu mie na carba na queen ake king na depal na anne na kgotha na mishl na hawachi bila kusahau mwanetu sijui ni bradha jr au princessKheri ya mwaka mpya Prisca.
Mungu ajalie uwe mwaka wenye mafanikio mengi zaidi.
#janaNilijikutaNachekaUlivyopostUleWimbo
Thanks bro.
Umeitype haraka sana hii 555555555555Heri ya mwaka mpya too bradha. Mwaka uwe wa mafanikio kwako na kwa wifi yetu mie na carba na queen ake king na depal na anne na kgotha na mishl na hawachi bila kusahau mwanetu sijui ni bradha jr au princess
#ilenifurahayakuuonamwaka
Hahah! Hakika bro kumbe ulikua na ujumbe mzito wakati unaweka hiyo AvatarHa ha
#jumbalakwenyeavatar
5555555555555555bageshUmeitype haraka sana hii 555555555555