Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Josef Bican (mabao 805)

Gwiji wa Austria, Josef Biscan anaongoza kwenye orodha hiyo akiwa amefunga mabao 805 katika mechi 530 tu. Akijitengenezea umaarufu wa kuwa mchezaji aliyetumia vizuri zaidi miguu yote miwili, Bican alicheza klabu kadhaa huko kwao Austria kabla ya kwenda kukipiga kwenye timu nyingine kadhaa Jamhuri ya Czech, ikiwamo Dynamo Prague. Alicheza pia Bohemia na Moravia.
 

Ndugu yangu heri ya Mwaka mpya natumaini ni wazima hapo home wewe na Familia
 
Hahahahaha anko bana.

Am fine,Happy new year too
 
Kheri ya mwaka mpya Prisca.
Mungu ajalie uwe mwaka wenye mafanikio mengi zaidi.

#janaNilijikutaNachekaUlivyopostUleWimbo
Heri ya mwaka mpya too bradha. Mwaka uwe wa mafanikio kwako na kwa wifi yetu mie na carba na queen ake king na depal na anne na kgotha na mishl na hawachi bila kusahau mwanetu sijui ni bradha jr au princess

#ilenifurahayakuuonamwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…