Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hata akisema uhamie Juventus unakubari Bro?I want to do you whatever you want
Lakini Wewe hujanialikaTunaishi sehemu moja sasa saint Anne yaani baada ya Davet nafuatia mimi, ni mtaa wa katalunya
Say halla CR7 5555555I want to do you whatever you want
Kheri ya mwaka mpya na kwako pia mtani[emoji3][emoji3][emoji3]
Huku ni kwema kabisa, tunamshukuru Mungu tumeuona mwaka.
Kheri ya mwaka mpya.
Sikuamini tenaNisamehe mama naomba uniamini hata mara moja kama navyo kuamini toka day ulivyoniambia nikuamini[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sijui kimetokea ninii......Nashangaa tu kumekucha[emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina[emoji120][emoji120]Amina!
Kua na mwaka mpya 2020 wenye heri na Fanaka na Mungu akuepushe na kila baya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmemwambia ahamie Juve,, hajajibu bado 555555Say halla CR7 5555555
[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha nilijua tu lazima uione hii hashtag...
#nipokuwakimbiawakatalunyasoon
#umepelekwachaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#tangolaukwelieeh
#aunmeingiachaka
5555555 juve mbali ungemwambia pale r madrid tuNmemwambia ahamie Juve,, hajajibu bado 555555