Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poleni sana wenye tatizo hili na nataka kukuambia, ugonjwa huu unatibika! Kwanza napenda wewe msomaji mwanamume ambaye unapitia kurasa hii, uanze kufanya uchunguzi wa mwili wako kwa daktari, pima vipimo vyote hospitalini kubwa na sio za uchochoroni!
 
Hata unapokuwa na malaria sugu, uwezekano wa damu yako kuwa bora na kufanya mapenzi vizuri ni ngumu. Unapokuwa na ugonjwa wa ngozi hadi kwenye uume, vijidudu hushambuliwa uume wako na mshipa inayosambaza damu kutoka kwenye ubongo wako kwenda kwenye uume wako itashindwa kufanya vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…