Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na infection yoyote mwilini mwako, ni tatizo. Hivi wewe mwanamume unafanyia gari lako ‘sevisi’ kila mwezi, unashindwaje kufanya ‘ovaoili’ mwili wako? Kumbuka oil chafu inaweza kuua injini yako ya gari, hata katika mwili; kama tumboni una masalia kibao ya chakula ambayo yaliganda katika utumbo wako na yamekaa muda mrefu kwasababu kila siku unakula vyakula na kunywa vinywaji baridi, unategemea nini? Lazima utapata matatizo tumboni na ukumbuke kuna mishipa ya kumfanya mwanaume awe imara inayotokea tumboni.
 
Acha mawazo ya kushindwa kusimamisha kalamu yako na badala yake jenga hisia nzuri kwa mkeo, leo utampatia kile roho yake inapenda. Wakati mwingine uoga wa kuhisi utashindwa unaweza kukusababishia kweli ukashindwa.
 
WANAWAKE WANAVYOISHI NA WANAUME ZAO, NI SABABU YA KUSHINDWA KUPEWA VILIVYOBORA.

Jamani, hebu fikiria inakuwaje mwanamume anaweza kusimamisha kalamu yake? Ili uweze kusimamisha kalamu yako akili yako ina sehemu kubwa ya kazi katika kusababisha hali hiyo
 
Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonenako, pia wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha baadhi ya wanawake wazuri.
 
Wanakuwa ni wenye kupata bahati ya kupendwa lakini hao hao ndiyo wale ambao kila siku wanaachwa. Si jambo la ajabu huko mtaani kukutana na msichana mkali ile mbaya lakini akawa si mtu wa kutulia na mwanaume kwa muda mrefu, kwanini? Kwa sababu hayajui mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…