Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majamboz gani eti??Ni tatizo siriasi ?.
Msichana mzuri aliyeumbika kutoyajua majamboz ni tatizo na ndiyo maana anaweza kuwa mtu wa kulia kila siku.
Uji wa jiraniiii 55555555
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapobaki kujisifia kuwa wewe ni mzuri wakati huna mashamsham yoyote itakuwa ni kazi bure. Matokeo yake sasa utashangaa mpenzi wako anakwenda kwa mwingine ambaye ukimuangalia na kujilinganisha na wewe, unaanza kujiuliza, hivi alichokifuata kwa yule ni nini ?.
Naona umekolezwa ukakolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna saa akili za maandazi zinapotea zinakuja za keki
itakuwa lionel messi
mapenzi yake kwa CR7 tumeshayazowea... bila ya shaka amempata muungwana mwenye ndevu nyingi kama shekhe wa msikitiniNa Mimi nimeotea hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi yake kwa CR7 tumeshayazowea... bila ya shaka amempata muungwana mwenye ndevu nyingi kama shekhe wa msikitini
Na Mimi nimeotea hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi simo mkorea utapambana naye mwenyewe
nywele zimerudi nyuma kama kichwa cha lipumbaDaladala imejaa[emoji470][emoji470][emoji470]View attachment 1309401
Sent using Jamii Forums mobile app
davet, the happiness, moudgulf na watoto wengine muda huu wana angalia taarifa ya habari..Mbinu za kumshibisha mpenzi wako, zipo nyingi ila kwa kuwa ukurasa huu unasomwa na watu wa kila rika, siwezi kuandika wakati huu.