Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah siamini kama ni wewe binti mtata



#UnakwepaBan
#NewYearVibe

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu naogopa kama kuchokwa ndani ya uzi huu pendwa kila siku mtasikitika tuuu kisa ban aah nawapenda miee
 
MWANAMKE HUYU KATIKA PICHA AMEKUTWA NA MTOTO MDOGO, KATIKA PICHA, UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA MWANAMKE HUYU ANA TATIZO LA AKILI. AWALI ALIKUWA ANASAFI KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MWANZA NA BAADA YA KUFIKA NZEGA MTOTO HUYO KATIKA PICHA ALIUGUA NA KULAZWA HOSPITAL YA WILAYA YA NZEGA, NDIPO ILIPOBAINIKA KUWA MTOTO HUYO SIO WAKE NA HAJULIKANI ALIPO MTOA. MTOTO HUYU ANAKADIRIWA KUWA NA UMRI KATI YA MWAKA MMOJA NA NUSU HADI MIWILI. KWA YEYOTE ANAYEMFAHAMU NA KUMTAMBUA AFIKE KITUO CHA POLISI NZEGA

*SHARE UJEMBE HUU KWENYE MAGRUPU MENGINE*
IMG-20200101-WA0016.jpg
IMG-20200101-WA0017.jpg
IMG-20200101-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom