myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:25
[emoji91][emoji91][emoji91]
Happy new year mpendwaHappy New Year 2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is so lovely The Don [emoji173] Twenty Twenty ikawe yenye amani, furaha na mafanikio tele kwetu sote. Mwenyezi Mungu atusaidie mipango ya kila mmoja wetu hapa itimie kadiri ya anavyostahili
Happy new year Guy's [emoji95][emoji95]
#siwezi kunyamaza kimya na hiyo pic [emoji23][emoji23] Msukuma anapigilia suti safi na bado anabeba jembe begani, msukuma anapeta mpaka sukari [emoji125][emoji125]
Hii picha ya mwisho maskini kanalia inasikitisha Mungu amsaidie wazazi wake wajitokezeMWANAMKE HUYU KATIKA PICHA AMEKUTWA NA MTOTO MDOGO, KATIKA PICHA, UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA MWANAMKE HUYU ANA TATIZO LA AKILI. AWALI ALIKUWA ANASAFI KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MWANZA NA BAADA YA KUFIKA NZEGA MTOTO HUYO KATIKA PICHA ALIUGUA NA KULAZWA HOSPITAL YA WILAYA YA NZEGA, NDIPO ILIPOBAINIKA KUWA MTOTO HUYO SIO WAKE NA HAJULIKANI ALIPO MTOA. MTOTO HUYU ANAKADIRIWA KUWA NA UMRI KATI YA MWAKA MMOJA NA NUSU HADI MIWILI. KWA YEYOTE ANAYEMFAHAMU NA KUMTAMBUA AFIKE KITUO CHA POLISI NZEGA
*SHARE UJEMBE HUU KWENYE MAGRUPU MENGINE*View attachment 1309695View attachment 1309696View attachment 1309697
Aise nahitaji kozi leo nmepitwa hivi hiviKesho tena abiria ni wengi[emoji23][emoji23]
ningendako anahitaji kozi fupi ni mzembe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji173][emoji173]
Imeniuma balaa. So sadHii picha ya mwisho maskini kanalia inasikitisha Mungu amsaidie wazazi wake wajitokeze
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji23]Naona umekolezwa ukakolea[emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo anataka mjukuu nakukumbusha tu[emoji470][emoji470]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama sijui huyu mtoto kamkwapua wapi, dah!MWANAMKE HUYU KATIKA PICHA AMEKUTWA NA MTOTO MDOGO, KATIKA PICHA, UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA MWANAMKE HUYU ANA TATIZO LA AKILI. AWALI ALIKUWA ANASAFI KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MWANZA NA BAADA YA KUFIKA NZEGA MTOTO HUYO KATIKA PICHA ALIUGUA NA KULAZWA HOSPITAL YA WILAYA YA NZEGA, NDIPO ILIPOBAINIKA KUWA MTOTO HUYO SIO WAKE NA HAJULIKANI ALIPO MTOA. MTOTO HUYU ANAKADIRIWA KUWA NA UMRI KATI YA MWAKA MMOJA NA NUSU HADI MIWILI. KWA YEYOTE ANAYEMFAHAMU NA KUMTAMBUA AFIKE KITUO CHA POLISI NZEGA
*SHARE UJEMBE HUU KWENYE MAGRUPU MENGINE*View attachment 1309695View attachment 1309696View attachment 1309697
Asante mpendwa..mzima lakin?Happy new year mpendwa
Huyu mama sijui huyu mtoto kamkwapua wapi, dah!
MWANAMKE HUYU KATIKA PICHA AMEKUTWA NA MTOTO MDOGO, KATIKA PICHA, UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA MWANAMKE HUYU ANA TATIZO LA AKILI. AWALI ALIKUWA ANASAFI KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MWANZA NA BAADA YA KUFIKA NZEGA MTOTO HUYO KATIKA PICHA ALIUGUA NA KULAZWA HOSPITAL YA WILAYA YA NZEGA, NDIPO ILIPOBAINIKA KUWA MTOTO HUYO SIO WAKE NA HAJULIKANI ALIPO MTOA. MTOTO HUYU ANAKADIRIWA KUWA NA UMRI KATI YA MWAKA MMOJA NA NUSU HADI MIWILI. KWA YEYOTE ANAYEMFAHAMU NA KUMTAMBUA AFIKE KITUO CHA POLISI NZEGA
*SHARE UJEMBE HUU KWENYE MAGRUPU MENGINE*View attachment 1309695View attachment 1309696View attachment 1309697
Mzima mpendwa nafurahi tupo wote kwa mwaka mwengine.Asante mpendwa..mzima lakin?
Happy new year na kwako pia..
KabisaaAisee huyu mama dishi limeyumba waziwazi kabsa,, wazazi wa huyu mtoto watakuwa tumbo joto huko walipo, Mungu afanye wepesi wazaz wake wapatikane haraka iwezekanavyo
Wozaaaaa [emoji23][emoji23]Kama mahaba kipigo,ni radhi kinisumbue
Nafurahi pia mpendwa, msalimie ankooMzima mpendwa nafurahi tupo wote kwa mwaka mwengine.
Zimefika bila shaka nawe pia salamu kwa twiceNafurahi pia mpendwa, msalimie ankoo