Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee mwenzake unakwama wapi?

Naona malalamiko umepitishwa kituo kwa mara nyingine[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
Kuna kozi nilimiss, ila sasa hivi nipo full mzee mwenzake

Hili la Burigi vipi? unafeli wapi mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Twenti twenti hii,inagawanyika kwa mbili ujue [emoji2][emoji2]
 
Ni tatizo siriasi ?.
Msichana mzuri aliyeumbika kutoyajua majamboz ni tatizo na ndiyo maana anaweza kuwa mtu wa kulia kila siku.
Majamboz gani eti??

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1577290602733.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari njema ni kuwa wazazi wa uyo mtoto wamepatikana wapo tabora mjini mda huu wanaelekea nzega, uyo mtoto alipotea mbeya siyo dar

Hii ndio habari iliyofanya wazazi wapatikane kiurahisi baada ya watoto kupotea tarifa zilitolewa katika magroup
 
Back
Top Bottom