Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Arsenal ndio imewafungaa eti ππππππππ kwa mbali tu
Naona upo mapumziko?
Arsenal ndio imewafungaa eti ππππππππ kwa mbali tu
kweli unanicheka tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamkaje binti mpole?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salam jirani..pole sana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marhabaa, Heri ya 2020 [emoji3] [emoji3] [emoji2089][emoji2089]
πππKama mahaba kipigo,ni radhi kinisumbue
Wacha we... beti hizi nimeziona mahala hizi..Kama mahaba wazimu,sihitaji nitibiwe
Happy new year Cole
Tumesikia ushauri wa mwaka mpya.. tunaanza kuufanyia kaziUshauri wangu
Ili uyafurahie maisha yako ya kimapenzi, hakikisha unakuwa imara kila idara. Kwanza mpende mpenzi wako kwa maana halisi ya kumpenda halafu jitahidi kumpatia furaha ya kweli.
Kumbe kuna andaeitini humu!Mbinu za kumshibisha mpenzi wako, zipo nyingi ila kwa kuwa ukurasa huu unasomwa na watu wa kila rika, siwezi kuandika wakati huu.