Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duh!
Numbisa..................
Nakuaminia sema kinakuangushaga ni mvua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninazo tena zile za mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishua hao wanaigiza tu hapaWa buza mnamshangaa 😀😀
Safi kaka mkubwa, vipi huko uzima na amani vimetawala?
Wakishua hao wanaigiza tu hapa
![]()
Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao, kama na wewe unao ushuhuda usisahau kushea nasi. 1. Ushuhuda wangu unaanzia mwaka 1992 nikiwa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! TH ndio kazidi ushua😀😀😀 nyie wote wakishua
Mimi nilishawahi kuziona nguvu za giza live, tena live kabisa sikuhadithiwa na mtu.
Ni bonge la stori
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha bhanaaHahah! Kwani babe siku hizi unafanya kazi gazeti gani?
Hahahah, usibadili kipaumbele basi....Nakuaminia sema kinakuangushaga ni mvua tu
555555 aya nimeacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha bhanaa
Sent using Jamii Forums mobile app