Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa, wababe hao wa Anfield wangekuwa kileleni, lakini kwa tofauti ya pointi sita, sio 13. SunSport limefanya uchambuzi wa maamuzi yote 58 yaliyofanywa na VAR kwenye ligi hiyo msimu huu na kufichua vile ambavyo ingepaswa kuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…