Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hee! Ulipitwaje Kaka, wakati ulikuepo kituoni?😀😀😀😀😀 huu mchoro unanisaidiaje dada yangu?
Mwenyewe sikuelewa,Aseee, hawa jamaa si ilisemekana waliomba msamaha kwa mkurugenzi wa mashtaka ili wapate msamaha, ikawaje tena?
Sure
SawaJitahidi sana 2020
Kabla ya kuongea, Sikiliza
Kabla ya kufanya, Fikiria
Kabla ya kukosoa, Subiri
Kabla ya kuacha , Jaribu tena
Kabla ya Ubaya, Wema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnacheza na Sunderland
[emoji2][emoji2][emoji2] [emoji125][emoji125]Mzee mwenzake, umemaanisha mnaolipa au mnaokula hela za ada?[emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2] aisee zile hina mixer mikononi maua ua..kama mwarabu [emoji2][emoji2]
SherifiediMnacheza na Sunderland