Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watumishi ni marufuku kufanya biashara[emoji3]
tapatalk_1578038081290.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maisha yapi waliyowaboreshea watumishi wa umma hadi wawazuie kutokujishugurisha na biashara zingine...haya ni mashudu kama mashudu mengine tu ya awamu hii [emoji706][emoji706]
Utawala huu wa kijinga sana! Watu jana hawajapelekwa mahamani sababu hakuna usafafiri!

Unawezaje kununua ndege in cash, kwa uchumi upi tulo nao? Nani mnufaika wa hizi ndege?? Wangetumia hizo ndege basi kuwapeleka watuhumiwa mahamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom