myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:43
Yaani mimi nimeishia kucheka tu kwakweli.Kwa maisha yapi waliyowaboreshea watumishi wa umma hadi wawazuie kutokujishugurisha na biashara zingine...haya ni mashudu kama mashudu mengine tu ya awamu hii [emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yope tena? mixer kuangukia hightable[emoji23]
Jumaa mubaraq carba
Tunanunua ndege in cash na mahospitalini dawa na vifaa tiba hakuna.Utawala huu wa kijinga sana! Watu jana hawajapelekwa mahamani sababu hakuna usafafiri!
Unawezaje kununua ndege in cash, kwa uchumi upi tulo nao? Nani mnufaika wa hizi ndege?? Wangetumia hizo ndege basi kuwapeleka watuhumiwa mahamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwemaKwema, sijui huko.
#adaZitapatikana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TABORA: POLISI KUANZA MSAKO WA WANAOTAKA KUJINYONGA
- Kamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia matukio ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga na kuwapeleka Mahakamani
#JFLeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mbona kuna kauli za kipuuzi sana??#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, zinazofanywa na wazazi nyumbani, badala yake itafanyika sherehe 1 tu katika Shule husika na ambayo itawajumuisha ndugu wote. View attachment 1311062
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh,Leo mbona kuna kauli za kipuuzi sana??
[emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunanunua ndege in cash na mahospitalini dawa na vifaa tiba hakuna.
Smh!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi bangi wanazovuta hapana kwakweli.
Eti msako wa wanaotaka kujinyonga.
Vichekesho kama hivi vinapatikana tanzania tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maisha yapi waliyowaboreshea watumishi wa umma hadi wawazuie kutokujishugurisha na biashara zingine...haya ni mashudu kama mashudu mengine tu ya awamu hii [emoji706][emoji706]
Hivi nyongeza za mishahara walishapewa?Yaani mimi nimeishia kucheka tu kwakweli.
Watumishi wanaishi maisha magumu,wana madeni.
Stahiki zao hawajalipwa yaani shida tu.
Hii kauli ni ya kipuuzi kama kauli nyingine[emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,